IJUMAA HII NITAKUWEPO MZALENDO PUB KAMA KAWAIDA


Nilikuwa nahitaji mapumziko kiasi ili kupata akili mpya na nguvu mpya Nawaombeni radhi sana wapiga kura wangu, fans wangu

Wapenzi na mashabiki wa Lady JayDee Kwa kipindi chote ambacho sikuweza kuwepo kwenye shows mbalimbali

Hata baada ya kurudi safari, nilihitaji kupumzika pia

Ila sasa niko sawa na week end hii naanza kupanda jukwaa
IJUMAA nitakuwepo MZALENDO PUB
Malalamiko yenu nimeyasikia, ila nshukuru pia kwa kuendelea kuipa support Machozi Band Hata wakati nikiwa sipo.

Mniwie radhi kwa kuwaacha, ila hayo ndio ya Dunia na hakuna sehemu kama Tanzania
See you on Friday.


Kabla ya siku ya leo kuisha "Jumanne" Nita Upload Video ya wimbo mpya
WANGU Feat: MR. Blue


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive