TUNAANDAA EVENTS MBALI MBALI - NYUMBANI LOUNGE

Ukihitaji ma lavy davy ya mishumaa na maua unaweza ku book kwaajili yako na mpenzi wako
Chakula unachohitaji, Position ya siti unayoitaka na muda unaotaka meza yako iwe tayariBaadhi ya picha za siku ya event ya Big Brother


Sehemu nzuri kama hii unakaribishwa kuleta shughuli yako uipendayoKaribu Nyumbani Lounge sehemu nzuri yenye chakula kizuri na watu wazuri.
Machozi Band ni kila Alhamis na Jumapili

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive