WASANII WA FILAMU TANZANIA WAKUTANA KUCHANGISHA PESA MAALUM KWA MFUKO WA CLUB YAO YA MICHEZO, SOCCER NA NETBALL

Kikao hicho cha watu 50 kilichoambatana na chakula cha mchana, kilifanyika Jumapili ya Tar 27 Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
Lengo ni kukuza mfuko wa Club pamoja na kusaidiana wao kwa wao linapotokea jambo kama kuugua, kuuguliwa, kufiwa au kufariki, Kuoa au Kuolewa kwa kati ya wanachama wa Club hiyo.

Walifanikiwa kwa masaa machache waliokutana kukusanya kiasi cha fedha za kutosha kuanzia

Maarufu wengi walioshiriki ni pamoja na Wema Sepetu, Ben Kinyaiya, Steve Nyerere, Jack Wolper, Richie Richie, Claude na wengine wengi mnaowafahamu na kuwaona kwenye Luninga


Kwa niaba ya Uongozi wa Machozi Co. LTD
Tunashukuru kwa kuichagua Nyumbani Lounge.

Karibuni tena

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive