NYUMBANI LOUNGE OPENING PARTY ITAFANYIKA ALHAMISI YA TAR 10 MAR 2011

Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa ufunguzi rasmi wa Nyumbani Lounge
Utafanyika Siku ya Alhamisi ya tar 10 March 2011
Kutakuwa na kadi za mialiko maalum.......na kwa wengine watakaopenda kushiriki party hiyo ya ufunguzi rasmi kutakuwa na kiingilio mlangoni.
Bei za kiingilio tutazitangaza Jumatatu Ijayo

MENU YA BUFFET LA ALHAMIS HII NI:

*Supu ya Mboga Mboga
*Muhogo wa Kukaanga
*Wali wa Nyanya
*Kisamvu / Mchicha
*Bamia
*Nyama moto
*Maini na Firigisi
*Red Snapper wa Kukaanga
*Ugali wa Muhogo

Vyakula vyote hivyo kwa pamoja ukipakua katika sahani yako ni 10,000/= (Alfu kumi)

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive