MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA TOKA KWA MONICA VINTAN


Mzima mumy? Pole na mihangaiko!
Pia hongera kwa kutuletea Nyumbani lounge.
haya raha tujipe wenyewe wa Tanzania, kwani nchi yetu ina vitu vingi vizuri.
Kisima hicho unachokiona chaitwa kisima wivu, sababu ya ukuta huo kuwekwa
ni kwamba mtu na mkemwenza wasionane leo mwenzangu kavaa nini wala apika nini?
Mi nikutakie mafanikio mema kila ufanyalo ufanikie.
ahsante! kwaheri.

Monica Vintan

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive