ALHAMISI CHOZI LILILIA NYUMBANI LOUNGE, PIA ILIKUWA NI B'DAY YA CAPTAIN

Champanyoo kidogo

Keki Kidogo

Machozi Band kwa sana

Boss wangu Johnson Lukaza


Wakati wa keki, Cuthbert kwa nyuma anachunga bibi.. keki isije kuwa keeeeeeeeki

Mbwembwe ndani

Mzee wa Zuberi pia

Flowers and Friends

Sam Model


Baraka Msilwa & Zamda

Very Comfortable

Salama Jabir & Haki Ngowi

Kwa sasa habari ni Nyumbani Lounge kwa upande wangu
Kwakuwa nashinda hapo, nafanya kazi hapo na nakesha hapo
Sijapata kingine chochote kipya, ila nakaribisha kama kuna mwenye lake anitumie tu tunaweza ku share na jamii kwa ujumla

Ijumaa ya leo:
Cocktal of the Day: SHAURI YAKO

MENU YA BUFFET:
Supu ya Samaki "Changu"
Nyama Moto "MBUZI"
Kuku wa Mchuzi "KIENYEJI"
Mboga mboga
Maharage ya nazi
Wali wa Carot
Ugali
Matunda n.k

Lunch ipo tayari kuanzia saa 6 kamili mchana mpaka saa 10 jioni

Karibuni Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive