ESTHER ULAYA NA WENZAKE WALIWEKWA SELO....SIJUI WALIENDA KUFUATILIA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO VIJIJINI...YAKAWAKUTARB ndio hiYOOO.... inasemekana Mkuu wa Mkoa sijui na Mkuu wa Wilaya ndio waliwakamata wakawasweka ndani, vuliwa mikanda viatu na kadhalika...

Chezea Bongo!!!
Unaweza kufanya kazi yako pia watu wakakutia unyonge vile vile

Esther: Kwa kifupi tulireport kwenye ofisi za mkoa Morogoro, tukapokelewa, tuka report ofisi za wilaya Mvomero tukapokelewa na tukapewa watu wa kufanya nao kazi huko kijiji cha Mziha, siku tunamalizia kazi ambayo ni siku ya mwisho ndio tukaambiwa na Mkuu wa mkoa Issa Machibya sie ni matapeli tumepeleka uchonganishi mkoani kwake tukawekwa mahabusu,

Hadi Naibu waziri wa Ardhi alipompigia kumueleza siye ni wafanyakazi wa Serikali na ofisi imetuagiza kufanya kazi huko ndio akatutoa mahabusu, tulikaa humo zaidi ya masaa mawili. hao wengine wawili ni David Malisa na Nickson Mjema.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive