BELINA BIRTHDAY PARTY NA MA SUPRISE KIBAO

Hafla ya chakula cha jioni kusherehekea siku yake kubwa ya kuzaliwa Belina, ilifanyika Sweet Eazy
Pichani juu akiwa na mupenzi
Wanawake wengi hupenda viatu, kwahivyo basi keki ilioandaliwa usiku huo ilikuwa ya muundo wa kiatu

Asante kwa mwalikoMashostito mbalimbali waliohudhuria, sherehe hiyo ya kuzaliwa Belina iliohudhuriwa na watu zaidi ya 60

Mazawadi yakaanza baada ya kula na kunywa, kabla ya kuingia ukumbini kulisakata Rhumba

Mume akimvisha zawadi Bibi, Zawadi zilianzia masikioni, la kulia na la kushoto

Zikafatia shingoni na kumalizikia mkononi

Mwanamke madini, unaweza kumtathmini kwa usiku huo mmoja tu alikuwa ni wa thamani ya kiasi gani??? Je! Unaweza kuhudumia? Kama la hasha basi kaa mbali waachie wenzio wanaoweza

Shingoni dhahabu
Masikioni dhahabu, usiku ulikuwa mzuri kwa Belina, anaemilikiwa na mwanaume wa Kikongo anaejua thamani ya Mwanamke.

Belina natoa shukrani pia kwa wote walioitikia wito na kuifanya siku yake iwe ya kihistoria, pia kwa zawadi zingine zote mlizompatia.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive