MAENDELEO YA PETER MSECHU

Kijana Peter Msechu aendelea kuzawadiwa na kampuni mbali mbali kutokana na kufanya vizuri katika mashindano ya Tusker Project Fame


Meneja Mkuu wa Resolution Health Afrika mashariki, Oscar Osir, akimkabidhi msanii Peter Msechu zawadi ya bima ya afya kutona na mchezo alioshiriki wa Tusker Project Fame 4 mwishoni mwa mwaka jana. Hafra hii ilifanyika ofisi kuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Peter Msechu akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya bima ya afya Resolution Health baada ya kupokea zawadi ya bima wakiwa katika ofisi kuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam .

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive