TAPELI WA KIKE MLIMANI CITY - KUWENI CHONJO


MATAPELI MLIMANI CITY - TENA MWANAMKE MTU MZIMA
JANA MAJIRA YA SAA 4:30 JIONI. TULIPACK GARI PALE MLIMANI KATOKEA MAMA MTU MZIMA MWEUSI MNENE AMBAYE NI MLINZI WA KULE NDANI KAVAAA NA SARE. KATUSOGELEA AKIWA ANATUONGOZA ILI TUPAKI VIZURI.

MARA BAADA AKAJA KUSIMAMA KWENYE DIRISHA LA MBELE AKAWA ANATUOMBA MIA MBILI YA MAJI. CC TUKAONA NI MLINZI TU NGOJA TUMPE 500. KASEMA ASANTE . MARA ATAKI KUSOGEA ILI TUONDOE GARI. TULIPORUDISHA GARI NYUMA KASEMA TUMEMKANYAGA. KUSHUKA KUMWAMBIA ATOE BUTI TUONE HATAKI. ANADAI HELA YA HOSP.

KATUNG'ANGANIA TUKAMPA 5000 KASEMA HAITOSHI, TUKAMWONGEZA 5000, KASEMA BAADA YA WIKI NAOMBA MJE MNIONE. SASA KUFIKIA GETINI TUNAMUULIZA MLINZI MWINGINE ANASEMA ETI NDIYO TABIA YAKE YA KILA CK. SASA JIDE KAMA WANAJUA NDO TABIA YAKE YA KUTAPELI KWA NINI WASIMWONDOE SWALI AU MABOS WAKE HAWALIJUI HILO.
NI MAMA MTU MZIMA MWEUSI MNENE UKIENDA HATA LEO UTAMWONA. ANAKAA MAENEO YA PALE KATIKATI.
NAOMBA UTOE TAARIFA KWA WAPENZI WA MLIMANI NACKIA AMESHALIZA WENGI. PLEASE JIDE TOA SASA HII,
ASANTE


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive