KUNA MTU KAULIZA KAMA HII NI KWELI?

kwanza habari ya mwaka mpya dada na wadau hapo bongo,
wadau hapa kuna swali la utata kuhusu mwafrica au mtu mwaeusi kwa ujumla,

hivi ni kweli hatujapewa kipaji chochote na mwenyezi mungu zaidi ya kucheza ngoma na kuimba???
mkasa mwenyewe ni huu,ukiangalia dunia nzima kuanzia mzungu,mchina,muhindi na mtu yeyote yule
ametuacha mbali waafrica kwanini???

je tukimaliza ubishi wa kubadilisha nchi wajerumani wachukue Tanzania,watanzania wachukue Ujerumani na
kila kilchopo ujerumani,swali baada ya miaka mitano nani atukuwa juu kimaendeleo????

ni wajerumani waliochua tanzania au watanzania waliochukua ujerumani????

jibu,wajerumani waliochukua tanzania ikiwa masikini watakuwa namaendeleo,utaona metro,trams,trein za umeme
tanzania nzima,haya tuangalie watanzania waliopo ujerumani,

kwanza Raisi keshauza luftansa,na utashaangaa mgogo
anafunga ngombe gorofani humburg,utaona mzalamo anatwanga mpunga golofa ya saba nane usiku,matrein yote yamekufa;

mlugulu analima mchicha kwenye underground za metro,ni hivyo hiyo na wakenya wakipewa uingereza baada ya miaka mitano;
kila kitu kimekufa,na utaona waingereza wanaendela kenya,mwisho tunaanza kurudi africa kuomba kazi,Je kweli mtu mweusi zoba?????
mdau ulaya....


SIJAONGEZA WALA KUPUNGUZA CHUMVI, NIMEIWEKA KAMA ILIVYOTUMWA NA CASHMORE MONEY GEE

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive