SASA TURUDI NYUMBANI LOUNGE KUWAPATIA MENU YA JUMATATU MCHANA

Utakutana na vijana hawa kwa huduma utakayohitaji

Nguo hizi ni ubunifu wa Farha Sultan

JUMATATU KATIKA BUFFET KUTAKUWA NA VIFUATAVYO

1.Supu ya Kuku wa Kienyeji

2.Muhogo wa Nazi
3.Wali Mweupe

4.Njegere
5.Nyama Moto "Beef"
6.Kisamvu cha Karanga

7.Captain Chicken
8.Sato Super
9. Ugali


Pia unaweza kuagiza chakula tofauti na hicho hapo juu na ukaandaliwa kwa wale wanaopenda chomachoma au vya kukaanga au mapishi ya aina nyingine pia yanapatikana Nyumbani Lounge

Kwa wale ambao ndio watakuwa wanafungua blog leo na hawakupata kujua sehemu iko wapi
Ni ADA ESTATE Kinondoni nyuma ya BestBite
Jengo linaitwa Tranic PLAZA

Lunch ni kuanzia saa 6 kamili mpaka saa 10 jioni

Tuonane hapo

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive