PARTY IDEA

Habari za kazi Jide,

pole na majukumu ya kila siku. nilikuwa nina shida moja I hope utaweza kunisaidia, au uipost kwenye blog yako wadau wengne wanisaidie kupata majibu.

mimi nafanya kazi kwenye ofisi moja ya serikali, na hivi juzi tumepata Mkurugenzi mpya katika Idara yetu na anataka kubadilisha baadhi ya mambo hapa ofisini. Kati ya vitu alivyoniagiza kufanya ni kuwa na 'get together' ya ofisi katika idara yetu. Tatizo nililo nalo ni kwamba, hatujawahi kuwa na kitu kama hicho na hata hiyo Idea haijawahi kutokea tangu nimeajiriwa hapa miaka 5 iliyopita so I have no Idea how to introduce the idea to the people na watu wenyewe hawana muelekeo huo wa kupati so ni kitu cha kuwaconvince sana.

So help to come up with ways to introduce the idea as the boss doesn't want to be seen as its his idea, anataka ionekane kama sisi wafanyakazi ndio tunataka hiyo party.

ntashukuru kwa msaada wako.

Will.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive