KWANZA NIWAOMBE RADHI SANA KWA KUWA KIMYA KWA ZAIDI YA WIKI..........NI MAJUKUMU YA KIMAISHA ILA NILIKUWA NAWAANDALI KITU KIZURI

Hizi ni baadhi ya picha za wakati wa kazi inaendelea kabla kuisha.
Ila nimerudi na kila siku nitakuwa nawataarifu nini kinaendele katika sehemu mpya tulioifungua inayoitwa NYUMBANI LOUNGE/ Bar and Restaurant

Picha zaidi za muonekano wa palivyoisha zinapatikana Michuzi BlogMaandalizi yalikuwa hivyo kwa kifupi
Na hilo ndio lililonitinga haswa mpaka kuwa kimya muda wote.
Karibuni sana NYUMBANI LOUNGE, Ilioko Ada Estate Kinondoni karibu na Best Bite
Ndani ya TRANIC PLAZA
Hakuna joto, kuna chakula kizuri na huduma nzuri
Lolote litakalo enda ndivyo sivyo msisite kututaarifu kwa maboresho zaidi


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive