STORY MBALI MBALI

Hii ilikuwaga ni ofisi ya Police mkoani Tanga, wameiba madirisha, mabati n.k
Imebakia kama inavyoonekana
Kwa story niliopewa





Masalia ya meli zilizo haribika yanavuliwa kutoka baharini yanapigwa soap, soap halafu yanauzwa, Inasemekana yakiwemo baharini samaki wanayatumia kama sehemu ya kutagia mayai na kutengeneza wana. "Mazalia"
Yanapoondolewa yanasababisha upungufu wa samaki, kwakuwa samaki wanakosa sehemu ya kufanyia shughuli zao za utotoaji

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive