Ukija kufanya shughuli yako Nyumbani Lounge kuna Package ya keki pia
Unasema unataka utengenezeweje sisi tunampigia Master wa hii shughuli
Bi. Maggie anakushushia mzigo unaoendana na hafla yako
Unasema unataka utengenezeweje sisi tunampigia Master wa hii shughuli
Bi. Maggie anakushushia mzigo unaoendana na hafla yako
Story ilianza hivi, Mamaa anapenda sana Makange na Ndizi Tamu akaambiwa leo twende mahali kuna makange tukakununulie kukupongeza kwa siku ya kuzaliwa
Hakujua kama atakutana na haya mama wa watu nusu ajiangukie
Hakujua kama atakutana na haya mama wa watu nusu ajiangukie
Kuingia akakuta watoto na wajukuu wamejaaa ndani wamesimama wakimngoja, wakamlaki kwa wimbo wa Happy Birthday to you 65, is not a joke!!!
Hongera MAMA TEMU
Hongera MAMA TEMU
No comments:
Post a Comment