14th ANNIVESARY ya NEW AFRICA CASINO - DAR ES SALAAM " A NIGHT WITH A STAR"

Ilikuwa Jumamosi ya tar 9 July, 2011 ambapo New Africa Casino walikuwa wanasherehekea miaka 14 tangu kuanzishwa kwao, wakasindikizwa na burudani toka kwa Lady JayDee na Machozi Band

Wageni waalikwa mbali mbali walihudhuria wakiwemo wateja wa Casino na marafiki

Picha sasa mpaka nilibonyea















Usiku ulikuwa wenyewe ni kula kunywa na kucheza

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive