IJUMAA MZALENDO PUB........Baada ya Mwezi huu patakuwa na mabadiliko yakiwa tayari tutawafahamisha


Mwisho wa mwezi July tutafanya Party moja kubwa sana ya kusherehekea Miaka 6 ya Machozi Band.......
Tutatoa tuzo kwa wanamuziki wenye Nidhamu, waliokaa muda mrefu, wanaojituma jukwaani, pamoja na wanaojua kujiweka sop sop katika swala la mavazi

Pamoja na sifa zingine mbalimbali ili kuzidi kuijenga himaya yetu
Jide hatohusika katika Tuzo hata mojawapo ya hizo maana yeye ndio mtoaji



Hawa wanawake wana roho nzuri na ya upendo sana.
Ester Ulaya na Maggie Berege


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive