Kwa hali hii nadhani shule zitakuwa zimefungwa mwezi huu wa saba labda ndio wakaja kwenye kibarua cha muda...Eti??
Au inawezekana pia kuwa ndio maisha yao ya kila siku na hawaendi shule???
Sina hakika sana kuhusiana na hilo
Au inawezekana pia kuwa ndio maisha yao ya kila siku na hawaendi shule???
Sina hakika sana kuhusiana na hilo
No comments:
Post a Comment