Hii sio sinema wala picha za kuungwa, ni maisha ya kweli ya watanzania wengi waishio mikoaniWatoto wakifanya kazi ya uchotaji maji kwa baiskeli Katumba-Mpanda
Wanafunzi wa secondary nao wako busy na uchotaji maji baada ya mapumziko ya shule, secondary ya Katumba
Kipindi hiki maeneo ya huku ni baridi sana wakati wa asubuhi wanafunzi wa shule ya msingi wanaenda shule ila wamejikunyata sana kwa baridi
Huyu Mzee kidogo ana matatizo ya akili, lakini anapiga Maombi sana, alipotukuta site akafunga macho akaanz kutuombea kama robo saa hivi, nimesahau hata jina lake 

Maelezo na Picha zote kwa hisani ya: Ester Ulaya
Picha zaidi kukujia hapo baadeni
Picha zaidi kukujia hapo baadeni

No comments:
Post a Comment