JUMATANO, TAR 6 JULY 2011. MACHOZI BAND ILIPIGA MAISHA CLUB ILA HAPAKUWA NA PICHA....... NA HII NI SHOW YA ??? AMBAYO ILIKUWA ALHAMIS NYUMBANI LOUNGE




Mapenzi, Asmini kwa Juice



Wageni kutoka Band mbalimbali nao hutembelea kuunga mkono

Lord Izzi

Hii either itakuwa ilikuwa chungu sana au tamu sana

Sham

David Peter

Any Question???

Hizi show ninazo post sio za kutuma msg na kusema show ni ya ngapi shindano mbona hata halijafika nusu, la msingi ni kuwa mnatakiwa muendelee kuhesabu mpaka hapo itakapofika tar 31 December ndio tunafunga mahesabu ya mwaka mnatuambia MACHOZI Band imepiga show ngapi 2011!!!!!!!!

Kila Kheri

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive