WALIOZALIWA JUNE

Sai International 14 June

Michael Carter Mlingwa 8 June

Huyu ndio anae endesha blog ya Lady JayDee kwa sasa, kuanzia muonekano,comments na mabadiliko yote kama kuna lawama ziende kwake,
Am out


Flaviana Matata 9 June

Mustafa Hassanali 9 June

Joseph Kusaga 9 June

Heri Naser 10 June

Berna Patrick 14 June

Jules Shungu Wembadio "PAPA WEMBA" 14 June

Babu Njenje 15 June

Ice Cube 15 June

Wapo wengi sana waliozaliwa mwezi June na hawa ni baadhi tu
Happy birthday kwa Gemini wote

Kama kuna mwingine anapenda picha yake iongezeke hapa kwenye hii list anakaribishwa



No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive