Hakuna story kwenye white party zaidi ya kuwaandikia majina ya wale ninaowafahamu kwenye hizi picha...........Yule wa katikati anaitwa Quick Racka ni msanii wa HipHop kizazi kipya hapa Tanzania
Hii haihesabiki katika mahesabu yetu ya shows
1. Ilikuwa ni kwa kujifurahisha tu
2. Mpiga Kinanda alikunywa safari Lager wakati wa kupiga, mimi naimba Wangu yeye anapiga wimbo mwingine tofauti na ninachokiimba mimi,
naona ilikuwa haimuingii akilini
Lakini ilikuwa ni kujjiburudisha tu na yote kheri

Kusema za ukweli party ilinoga, ukiachilia mambo mengine madogo madogo ya ki ubinaadam yaliojitokeza hapa na pale
No comments:
Post a Comment