Picha zetu za siku ya leo ni hizi

Unaweza kuhisi hii ni miguu ya nani?
Na hii je?
Hizi ni Picha za miguu ya watu maarufu hapa Tanzania ambao katika mazingira yao ya kawaida wanajikuta wamevaa viatu ambavyo si vyao wanapokuwa wameingia mahali na kuona uvivu kuvaa viatu vyao walivyoenda navyo hiyo sehemu. Unaweza kutambua ni miguu ya nani na nani?

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive