Tangu niko tumboni kwa mama yangu uliona na kujua mahangaiko yangu na ulijua unataka mimi niwe nani. ndio maana mimi nimekuwa mimi
Tangu nazaliwa kilio changu cha kwanza wewe ndio uliamua ziwe nyimbo zangu
Mpaka leo naimba, na nyimbo za kilio ndio furaha yangu, faraja yangu
Kwa sababu ulitaka mimi niwe kama mimi
Wapo watu walionewa, hawana kipato lakini wana moyo wa ushindi kila siku, wanaimba huzuni lakini muziki wa huzuni ndiyo furaha yao...Wanajidai na kujivunia vile vile walivyo. Watu hawa hawana kitu lakini hawana shida. They are who they are, na mmoja wao akaimba kuipokea hali yao.

I am who i am,GOD wants me to be who i am...Shangwe yao hawa watu ikoje???
No comments:
Post a Comment