INCASE UNAHITAJI KUJUA RATIBA YANGU YA IJUMAA INAYOKUJA

Nitaanzia Nyumbani Lounge kwenye birthday Party ya mshkaji mmoja hivi, Then nitaenda Trinity kwa masaa kadhaa kwenye White Party, mida ya kabla ya saa sita nitaelekea Mzalendo Pub kufanya kinachonipa Respect na kinachoniweka mjini, Nitaimba hapo weeee, then mida ya Saa nane hivi nane unusu narudi tena kumalizia white Party na mshkaji wangu Bijoux

Ndio, ni ukweli...Ile nguo ya Private white party nayo ni nguo basi, pale nilijifunika mbona!!
This time am gona walk naked...anzeni kuzoea kabisaaaaaaaaaa
Muandae macho na mishangao, am just gona be me

Sikujaribu kumuiga Gaga, labda yeye ndio aliniiga mimi
Manake ile nguo niliwahi kuivaa miaka 6 iliopita, kabla hata ya kumjua Gaga

You heard?????????????????
My brother Gonga, see you there

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive