TANGAZO.

Salamu Dada Lady JayDee,

Naamini unaendelea vizuri na kazi zako na mungu anasaidia.

Dada naomba unisaidie kutangaza libeneke langu la udalali wa nyumba na viwanja mtandaoni linalojulikana kama www.mydalali.com ili wadau wote waweze kulifahamu na kutembelea website.

Najua watu wengi wamechoshwa na udanganyifu wa madalali wa mtaani kwa hivyo tumeadhimia kuondoa tatizo hilo kwa kuwarahisishia watu kupata nyumba au viwanja bila kutumia gharama kubwa na kupoteza muda.

Hivyo kama mtu anauza nyumba au kiwanja,pia kama ana nyumba au ofisi ya kupangisha anaweza akawasiliana na sisi tukamuwekea nyumba mtandaoni ili iwe rahisi kwa jamii nzima kuiona.

We welcome the owners of houses or plots of land and the people who need the particular property to visit the website and get what they need.We also welcome the people who own apartments or offices for rent.

Asante Dada na natanguliza shukrani zangu.

Mdao wako,

William

www.mydalali.com


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive