VIWANJA VIZURI VINAUZWA VIPO ENEO LA MBWENI – GEZAULOLE – BLOCK 6.
WILAYA YA KINONDONI.
VINA UKUBWA WA
1. Eneo = 581.19 Sqm
2. Eneo = 648.91 Sqm
VIWANJA VILIPO NI HATUA CHACHE KUTOKA BARABARANI
VIWANJA HIVYO TAYARI VIMEPIMWA NA KUWEKEWA MAWE
NA KUZUNGUSHIWA NGUZO ZA SEMENTI KWA AJILI YA UZIO
PIA VIPO KWENYE RAMANI YA ENEO NA VINA BUILDING PERMITT
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBARI:-
0714 – 940992
0713 - 466935
AU
KWA BARUA PEPE (E-MAIL)
No comments:
Post a Comment