ZANZIBAR MADUKANI

Wakati wako busy kupiga picha zao na sisi tunawapiga kuzirusha

Hivi vitu vinasadikika kuwa ni vya zamani sana enzi hizoooooooo na vinauzwa bei kali sana kutokana na historia yake, japo vinaonekana vimechakaa na vimejaa vumbi na ukungu.


Ukizubaa baiskeli inaweza kukupitia kwenye njia hizi,
Kila kona nikipita naulizwa eti wewe mdogo wake JayDee?? nawajibu eeh eeeh

Mwili unaniponza


Kama tulichukue tuongeze vyombo Machozi Band

Kwa zamani hivi vilikuwa vinatumika kama viatu vya kuendea msalani kwakuwa hakukuwa na sakafu ya cement ni udongo, mchanga na maji maji ila kwa sasa zinatengenezwa kama mapambo yenye mfano wa viatu hivyo vya zamani vya msalani. Na pia unaweza ukavitumia kama hanger ya kutundikia nguo au mikanda. Chaguo ni lako



Binafsi hupendelea saaaaaana, sana vitu vya aina hii kwa mapambo

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive