Dada yetu habari ya kazi!
Sie ni wajasiriamali wadogo kutoka Chanika,Tunaomba msaada wako
kututangazia kwa wadau wa blog hii unga wetu wa muhogo ambao
tunazalisha kwenye kikundi chetu.Unga huu unatoka na mihogo tunayolima
wenyewe na kuprocess hapa Chanika.
Tutashukuru kwa msaada wako

No comments:
Post a Comment