MC Sauda Simba Kilumanga akifungua maonyesho ya mavazi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Explore Zanzibar waandaaji wa Onyesho hilo Maryam Olsen akihamasisha wadau waliohudhuria Onesho kusaidiana katika kupambana na utumiaji wa madawa ya kulevya visiwani humo.
Picha ni Vijana waliokuwa wakitumia madawa ya kulevya na kuamua kuacha na kuanzisha taasisi yao ambayo inayotoa masaada kwa vijana ambao ni addicted na madawa ya kulevya kutoa ushauri nasaha na kuwapatia hifadhi kwenye Sober house mpaka wanaporudi katika hali ya kawaida, wakionekana kuwa na nyuso za furaha
No comments:
Post a Comment