Uniform zao zimekaa katika hali ya usafi sana hata jinsi wanavyoongea wanatia moyo utamani kuongeza siku za kukaa hata kama ilikuwa ulale usiku mmoja
Chumbani kuna kila unachokihitaji, kama ni mpenzi wa wine utakutana nayo mezani tu ukiingia
Kama ni mgonjwa utakutana na matunda mezani pia ........"Hiyo nimetania"
Kama ni mgonjwa utakutana na matunda mezani pia ........"Hiyo nimetania"
Private Bar iko ndani ya chumba pia, bora tu mfuko uwe fresh maana uki check out tu unakutana na bill yako reception. Sasa usijeingia ukaanza kunywa ukadhani ni za bure zimelipiwa pamoja na chumba utaumia
No comments:
Post a Comment