Ufunguzi rasmi utafanyika wiki ijayo na wadau mbalimbali wataalikwa
Kuanzia Jumatatu mapaka ijumaa mchana kutakuwa na buffet
Na kila siku ni chakula cha aina tofauti tofauti, cha Kiswahili
Menu ya leo Jumanne kwa watakaopenda kupita mchana kujaribu ni kama ifuatatvyo
SUPU YA MBUZI
VIAZI VITAMU
SPINACH
MAHARAGE YA NAZI
WALI WA MBOGA MBOGA
KUKU WA RANGI RANGI
UGALI
DAGAA
NA NYAMA
VIAZI VITAMU
SPINACH
MAHARAGE YA NAZI
WALI WA MBOGA MBOGA
KUKU WA RANGI RANGI
UGALI
DAGAA
NA NYAMA
Unaweza ku reserve Meza kama una mazungumzo yako private au hafla fupi unataka kuifanya pale bila kuzuia wateja wengine pia kuendelea na shughuli zao
Chakula cha Jumanne kikiwa tayari nita post baadhi ya picha mpate kuona muonekano na ku imagine ladha yake itakuwaje.
Karibuni kwenye Buffet Monday - Friday. Mchana
Asanteni kwa marekebisho.....Ubinaadam
No comments:
Post a Comment