Unaziloweka kwenye maji zaidi ya robo saa ili mchanga uweze kutuama kwakuwa huwa una michanga midogo midogo
Unauosha huku unaupikicha kuhakikisha mchanga unatuama, waweza uosha zaidi yamara tatu uwe msafi zaidi.
Haya ni majano ya kunde yaliyochemshwa yakakaushwa.Baada ya kukauka wamechanganya na uyoga uitwao KANSWELELE ni mdogo mdogo sana
No comments:
Post a Comment