Hizi ni baadhi ya picha za wakati wa kazi inaendelea kabla kuisha.
Ila nimerudi na kila siku nitakuwa nawataarifu nini kinaendele katika sehemu mpya tulioifungua inayoitwa NYUMBANI LOUNGE/ Bar and Restaurant
Picha zaidi za muonekano wa palivyoisha zinapatikana Michuzi Blog

Maandalizi yalikuwa hivyo kwa kifupi
Na hilo ndio lililonitinga haswa mpaka kuwa kimya muda wote.
Karibuni sana NYUMBANI LOUNGE, Ilioko Ada Estate Kinondoni karibu na Best Bite
Ndani ya TRANIC PLAZA
Hakuna joto, kuna chakula kizuri na huduma nzuri
Lolote litakalo enda ndivyo sivyo msisite kututaarifu kwa maboresho zaidi

No comments:
Post a Comment