MUNGU MKUBWA SANA NDIO NIMEINGIA BANGALORE - INDIA SALAMA NIMEPOKELEWA VIZURI SANA NA WENYEJI WANGU NA SASA NIPO HOTELINI SAFI KABISA NAMWAGA MAJI NA KUPUMZIKA KIDOGO ILI BAADAE NIKACHECK SOUND KWA AJILI YA KUWAPELEKA MCHAKAMCHAKA HAPO KESHO!!
NA KESHOKUTWA JUMAMOSI NITAPIGA BONGE LA SHOW PALE HYDRERABAD!!!
No comments:
Post a Comment