PICHA KUTOKA LINDI - NA ESTER ULAYA


Baadhi ya nyumba za zamani kaisa enzi za mababu ziko kitalii zaidi, Lindi Mjini

Mitaani si ndio pako hivi






Kiumbe wa baharini anaitwa Urumba, unampasua kama yai unatoa yale maji maji ute kama yai unapika ni msosi mboga tayari


Pweza Kilo moja Sh.1,500/= Alfu na mia tano


Mji wa wavuvi na zana za Nyavu ziko kila mahala wanapoishi

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive