
Tuna ahidi kuboresha kila kitu kadri siku zinavyozidi kwenda kutokana na maoni mbalimbali.
Pia kupika chakula kingi kadri mnavyozidi kuongezeaka, asanteni kwa kutuchagua
Pichani juu inaitwa: TEJA NO.5 ilikuwa Jumatatu
Jumanne hii kuna Cocktail inayoitwa NYUNDO MOJA
Jumatano Buffet la hapo juu litaambatana na Cocktail inayoitwa KISMATI mpaka kwenye mlo wa jioni
KARIBUNI NYUMBANI LOUNGE
Mle Chakula cha Kinyumbani
82Ada Estate, Tranic Plaza Kinondoni. Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment