JUMAPILI MAMBA VILLAGE - NAIROBI KENYA "LADY JAYDEE AND MAPINDUZI BAND"

Festival inaitwa Wine and Blamkets hufanyika kila jumapili ya kwanza ya mwezi na wasanii mbali mbali kutoka sehemu mbali mbali za Afrika hushirikishwa, huo ndio mlengo wao.
Shukrani kwa MAPINDUZI BAND inayomilikiwa na msanii wa Kenya Erick Wainaina ambayo ndio ilipiga nyimbo zote za JayDee kwa ufasaha

Chips pia inabidi zipungue kuondoa mbweta, ila kipochi cha brown is my new identity mtakuwa mnakiona kila siku kila mahali katika kila nguo

Bella Kombo a.k.a Njuu aliambatana katika msafara huo pia



Shukrani kwa fans wa Nairobi pia kupokea vema

Naona kiswahili changu walikuwa wanakiona kama kichekesho fulani hivi






Me and Erick Wainaina

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive