HONGERA A.T



HONGERA AT

Kambi ya mabachela ndani ya Tzee Music Industry inazidi kumomonyoka.Baada ya siku chache kupita tangu wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marlaw na Besta kuamua kuaga ukapera sasa mwanamuziki kutoka Zanzibar aliyefanya vizuri na ngoma zake kama “Nipigie” na “Mama Ntilie” nae ameamua kuvuta jiko ndani.

AT atafunga na ndoa na mwanadada anayetambulika kwa jina Yna Mohamedy kesho Ijumaa tarehe 25 nyumbani kwao Zenji.

Habari zinasema bibi harusi ni mpwa wa mwanamuziki kutoka DRC,mzee wa Bakanja Fally Ipupa.









No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive