MH. AMOS MAKALLA ATEMBELEA OFISI ZA SCHOOL AID - UK

Picha ya chini Mbunge wa MVOMERO Mhe Amos makalla akifurahia jambo na meneja mkuu wa school aid -UK Martha Ware kushoto kwake ni mdau ndg Peter Raspigi





Mhe AMOS makalla akifurahia mkoba wa nembo ya school aid toka kwa Martha Ware

WASANII WA FILAMU TANZANIA WAKUTANA KUCHANGISHA PESA MAALUM KWA MFUKO WA CLUB YAO YA MICHEZO, SOCCER NA NETBALL

Kikao hicho cha watu 50 kilichoambatana na chakula cha mchana, kilifanyika Jumapili ya Tar 27 Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.
Lengo ni kukuza mfuko wa Club pamoja na kusaidiana wao kwa wao linapotokea jambo kama kuugua, kuuguliwa, kufiwa au kufariki, Kuoa au Kuolewa kwa kati ya wanachama wa Club hiyo.

Walifanikiwa kwa masaa machache waliokutana kukusanya kiasi cha fedha za kutosha kuanzia

Maarufu wengi walioshiriki ni pamoja na Wema Sepetu, Ben Kinyaiya, Steve Nyerere, Jack Wolper, Richie Richie, Claude na wengine wengi mnaowafahamu na kuwaona kwenye Luninga






Kwa niaba ya Uongozi wa Machozi Co. LTD
Tunashukuru kwa kuichagua Nyumbani Lounge.

Karibuni tena

ACHARYA'S EAST AFRICAN COMMUNITY GRADUATION

Wadau HAMIS FUPI,CHALSE, NA DULA wamekula nondozzzzz zao za shahada za BBM na BA





Acharya Institute of Technology is a top engineering college at Bangalore as per CSR top engineering college ranking Acharya Institute of Management is a top management college at Bangalore as per Outlook-MDRA top management college survey for Bangalore CLICK HERE
PICHA KWA HISANI YA AMANI MASUE


UPUUZI WA MASOUD KIPANYA

Baada ya muda mfupi mtapata kuufahamu upuuzi wa Masoud Kipanya

HONGERA A.T



HONGERA AT

Kambi ya mabachela ndani ya Tzee Music Industry inazidi kumomonyoka.Baada ya siku chache kupita tangu wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marlaw na Besta kuamua kuaga ukapera sasa mwanamuziki kutoka Zanzibar aliyefanya vizuri na ngoma zake kama “Nipigie” na “Mama Ntilie” nae ameamua kuvuta jiko ndani.

AT atafunga na ndoa na mwanadada anayetambulika kwa jina Yna Mohamedy kesho Ijumaa tarehe 25 nyumbani kwao Zenji.

Habari zinasema bibi harusi ni mpwa wa mwanamuziki kutoka DRC,mzee wa Bakanja Fally Ipupa.









Princess Leia from the Star Wars saga played by Carrie Fisher

Carrie Fisher was born October 21, 1956 in Beverly Hills, California.  Carrie is best known for her role as Princess Leia Organa in the Star Wars saga, namely episodes IV, V, and VI.  She is the Daughter of actress Debbie Reynolds and Eddie Fisher.  When Carrie was young, her parents would divorce and Eddie Fisher would go on to marry the legendary Elizabeth Taylor, making her Carrie's stepmother

JUMAMOSI FLANI HIVI NYUMBANI LOUNGE





Ambapo tulikuwa tumekaa tuna chill na watu mbali mbali mara zikaanza kutumwa msg, Jide hongera Jide hongera... Mara kaingia mdau wa siku nyingi Poti Poooooooooooti na mizigo miwili mkononi kabaaa

Mizigo yenyewe ndio hii

Flowers hawakusita kuikamata na kupiga nayo picha

Bahasha imeandikwa Mwimbaji Bora wa Kike, ambayo kwa kidhungu nadhani ni Best Female Vocalist. Tuzo hiyo alipewa mtu mwingine Linah wa THT.

Tuzo niliopewa mimi iliandikwa Female Artist of the Year ambayo ni Msanii Bora wa Kike wa Mwaka. Nadhani ubinaadam tu hapo umepita kama kuna fotauti na imani zitarekebishwa, kama yangu ina mpunga zaidi basi wataniongezea tu! Wink!!

Bahasha ya kwanza inanihusu nahakika ila ya pili ilioandikwa Best East African song sina hakika sana kama tunagawana na Kidum au kila mtu kapewa ya kwake???

Sina taarifa za undani, itabidi mzigo niuhifadhi nisijeanza kuutumbua mara naambiwa si zangu

Mwaka Flani hivi nakumbuka wimbo wa Anita niliofanya na Matonya ulipata kuwa Wimbo bora wa Mwaka zikatoka Trophies 2 na kila mtu akapata fungu la pesa kiasi.
Sijajua kama na kwa wimbo huu niliofanya na Kidum itakuwa hivyo au mwaka huu ni tofauti manake kila mwaka mambo huwa yanabadilika kwenye Tuzo hizi

Chef nae hakubaki nyuma




Sikuweza kufika kwenye tuzo za Kili kwakuwa sikupatiwa mwaliko, niliogopa kuzamia.
Nadhani walinisahau.........Tehe tehe tehe
Hata mwakilishi wangu yoyote pia hakuwepo ila Shabiki mmoja wapo alinipokelea na kuniletea Nyumbani Lounge

La muhimu zaidi nashukuru sana Watanzania wote mlionipigia kura, sina cha kuwalipa zaidi ya Asante
Nashukuru wote mnaoendelea kuamini kuhusu JayDee
Tuko pamoja siku zote.

Nashukuru na waandaji pia... Mbarikiwe wote


ALHAMIS FLANI HIVI NYUMBANI LOUNGE........KILA ALHAMIS MACHOZI BAND HUPIGA PALE NA MAMBO HUWA KAMA HIVI, MLANGONI KIINGILIO BUKU KUMI










Watu wazuri na muziki mzuri, ndani ya sehemu nzuri
82 Ada Estate,Tranic Plaza. Kinondoni Dar es Salaama karibia na Best Bite
Karibuni tena

MLEMAVU VINCENT BONIFACE





VINCENT BONIFACE

Dar es Salaam ni moja ya jiji lenye mkusanyiko mkubwa wa watu wenye ulemavu wanaokusanyika katika makutano tofauti ya barabara za jijini kuomba msaada kwa wapita njia kwa madhumuni ya kujipatia riziki.

Vincent Boniface ambaye ni mlemavu anayejitafutia riziki katika junction ya Morocco jijini Dar es Salaam alifanya mahojianona blog hii kuelezea nini kilimsibu mpaka kufikia hali aliyonayo sasa.

“Nilizaliwa miaka 36 iliyopita mkoani Kigoma nikiwa mzima wa afya lakini baada ya kipindi kifupi nikaugua ugonjwa Polio uliopelekea upungufu wa madini fulani katika mifupa yangu, kutokana upungufu wa madini hayo nilipotimiza umri wa miezi sita nikaanza kuvunjikavunjika mifupa na kupelekea kutokea kwa hali hii niliyonayo hivi sasa.”

Qn:Dar es Salaam ulikuja lini na kwa madhumuni gani?

“Dar es Salaam nilikuja mwanzoni mwa miaka ya tisini kwa madhumuni ya kutafuta tiba ya ugonjwa wangu lakini kutokana kutokuwa na uwezo wa kifedha na kuchelewa kupata huduma za kitabibu madhara yakazidi kuwa makubwa sana.”

Qn:Ilikuwaje mpaka ukafikia kuomba barabarani?

“Nilipofika Dar nilifikia kwa ndugu yangu ambaye hali yake kiuchumi haikuwa nzuri hivyo ili kumpunguzia mzigo nikaamua na mimi kujitafutia kwa kwenda kuomba barabarani.

Qn:Kwa sasa unaishi wapi, na nani?

“Sasa hivi naishi na rafiki yangu ambaye huwa ananisaidia katika kuniendesha kwenye baiskeli yangu, na kutokana na kukosa samani za kuniwezesha kupanga chumba hivyo tumepanga katika gesti ya Shimbo iliyopo maeneo ya Kinondoni ambayo tunalipa shilingi 7000 kwa siku.”

Qn:Ni matatizo gani unakumbana nayo katika kazi yako.

“Matatizo ni mengi lakini kikubwa ni kwamba watu wengine wana dharau sana, na pili barabarani kiukweli sio sehemu yenye usalama hivyo muda mwingine Napata shida sana.”

Qn:Je akitokea mtu anayetaka kukusaidia,ungependa akufanyie nini na utakuwa tayari kuacha kuomba barabarani?

“Kiukweli nitafurahi sana kama akitokea mtu wa kunisaidia, na ningependa kufunguliwa biashara ambayo itaweza kuniingizia kipato cha kuniwezesha kupambana vizuri na maisha na pia nitakuwa tayari kuachana na kazi ya kuomba barabarani.”

Qn:Kila binadamu wa kawaida huwa na starehe yake, je Vincet unapenda starhe gani?

“Kiukweli mi starehe yangu kubwa ni muziki, na mahali ambapo napenda kwenda ni Mango Garden kila alhamisi kuangalia muziki wa taarab wa kundi la Jahazi Modern Taarab.”

Fantastic saving!

Wow, I never get used to the great deals that I am able to work up. It always amazes me and fills with me with such thankfulness.
Before I get to the shopping savings I have to tell you that I was blessed yet again with a sweepstakes winning. Last week I got in the mail a winning Publix gift card for $100.00 dollars! I had entered this sweepstakes last fall and was picked as a first prize winner! How cool! So again I am going to keep track of how far I can stretch this free gift card. And let me say, so far it is looking very good!

And here is what I got this week at Publix. The total for everything before sales and coupons would have been $262.44. And the total that I paid, $11.12. A whopping 96% savings. And I could not be happier as I was able to get a lot of meat for that price. It is always a little harder to get that good of savings on meat but this week everything lined up perfectly.


1- gallon Milk $3.55 I used a Publix store coupon for $1.00 off making it @2.55

8- Kraft Shredded Cheese $2.00 used Target store coupons for $1.50 off 2 and manufactures coupons for $1.00 off 1 making them .25 each

4 Kraft BBQ sauce $1.65 BOGO used manufactures coupons for .75 of each making them .06 each

2- Beachnut baby foods $2.00 BOGO used manufactures coupons for $1.00 of each making the FREE!


2- Oreo Cakesters $2.50 used a target store coupon for $1.00 off each making them $1.50 each

2- Publix hot dog buns $1.19 no coupons used on these

4- Oscar Mayer hot dogs. $3.49 BOGO used Target store coupon for buy 3 get 1 free Making them FREE! (for further explanation on how this worked see below.)

4- Oscar Mayer Turkey hot dogs. $2.79 used manufactures coupons for buy a beef frank get a free Turkey frank making them all FREE! because this was a manufactures coupon and the other was a Target store coupon I was able to combine them with the sale and get them all free!

1lb Strawberries $1.67 used a manufactures coupon for $1.00 off making them .67

1- bag Broccoli florets $1.67 used a manufactures coupon for $1.00 making it .67

2 lbs Grapes $1.69per lb. used a store coupon for $1.00 off making them $2.36

6- Yoplait Fiber One Yogurt 4 packs. $2.50 BOGO used Target store coupons for %1.50 off 3 and manufactures coupons for .50 off each making them .25 each

4- Sundown Vitamins 2.99 each used Publix store coupons for $6.00 off 2 and manufactures coupons for $1.00 off each making them FREE with a total overage of $4.04!

22- Betty Crocker Fruit snacks $2.75 BOGO I used several manufactures coupons for BOGO and $4.00 off 4 and an Albertsons store coupon for $4.00 off 4 making tham all FREE with a total OVERAGE of $9.00!

9.2 lbs Ground Sirloin $3.99 per lb I used Winn Dixie store coupons for $2.00 of 1 making it 3.40 per lb or $31.32 for all of it.

12.9 lbs Pork Loin $1.99 per lb I used A Winn Dixie store coupon for $1.00 off and an Albertsons store coupon for buy 1 get 2 free making it .69 per lb or $8.96 for all of it

I also was able to use 5 Winn Dixie store coupons for $5.00 off a $30.00 purchase. This was taken off before any other coupons. So because my total before coupons was $160/something I was able to use all them! That is $25.00 right off the top! Add that to the overage items and I had a total of $38.04! Love it!!
Plus I was able to pay for it with my winning gift card so I technically had nothing out of pocket!


I never did post up last weeks saving. I won't list it all out but here are the final numbers. The total before saving and coupons for last weeks trip was $111.61. And after $7.98! A total saving of 93%! This was the first time that I used my wining gift card so again nothing out of pocket!
So far with my gift card I have used $19.10 and I have gotten $374.05 worth of groceries!! Couponing is so worth the little extra time that it takes to do! I think that is a good return on my investment!

DANSEZ LA FRANCOPHONIE

PINK PARTY JUMAMOSI YA TAR 26 MARCH 2011...NYUMBANI LOUNGE

Kiingilio ni Alfu tano 5,000/= kwa Flowers watakaovaa Pink na Alfu kumi 10,000/= kwa wanaume na watu wengine ambao hawatakuwa wamevalia Pink.

Savannah Ime sponsor na itatoa kinywaji cha kuwakaribisha Flowers Mia 100 wa Kwanza
Walio na wasio na nguo za Pink

This time itakuwa kubwa zaidi, Free Cocktail ndani kwa Flowers wote watakao kuwa wamevalia Pink

Chaguo ni lako


Unaenda wapi jumamosi...........Nyumbani ,Lounge is the place to be
Good Music and Good Pipo........Counter nasimamia mwenyeweeeeeeee

Siku hiyo Lounge itapambwa ma Shada ya Asumini
Ndani patajaa harufu na manukato ya maua freeeeeesh kutoka Zanzibar
Atakayo Provide Shangwe a.k.a Disminder wa ukwehee
Mama wa Marogo

Vikuba vya mkononi kwa Ladies watakao vaa Pink ili mrudi majumbani mnanukia.



Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive