WASHINDI WA KUHESABU SHOWS ZA SANYA SANYA 2010

WA KWANZA NI Binti Sayuni ambae namba yake ni +16157532831
Kwa jinsi tu hii namba ilivyo huyu atakuwa ni mtu alieko nje ya nchi.
ndio amebahatika kupata 750,000/= TZS
Hata kama yuko nje lakini atatumiwa tu mzigo wake.
Nitafanya utaratibu wa kuwasiliana nae ili ijue jinsi gani zitamfikia.
Pia nitashukuru akitutaarifu pindi atakapo upokea mzigo, hata pia akituma picha yake tumfahamu itakuwa sio vibaya

WA PILI NI Coco mwenye namba ya simu 0713 318881
Ambae zawadi yake ni 250,000/= TZS na nafasi ya kulala usiku mmoja Paradise City Hotel offer hiyo itaambatana na Breakfast, Lunch na Dinner kwa yeye na partner wake

MSHINDI WA TATU NI Mwenye namba ya simu
0652 184 399

Hakuweka jina lake, lakini zawadi yake ni complimentary ya kuingia show zote za Lady JayDee na Machozi Band kwa mwaka mzima

Ningeshukuru kama washindi wangenitumia picha baada ya kuwa nimewasiliana nao.
Ila kama hawatapenda pia nitaheshimu maamuzi yao...nawapa hongera sana
Na nashukuru wengine wote waliojaribu kwa kupatia ama kwa kukosea.

Kuna siku nyingine wanaweza wakashinda..

Asante kwa walionikumbusha kusema ni show ya ngapi maana nilisahau.

JIBU SAHIHI ni KUWA SHOW YA TAR 31 DEC 2010 ambayo ndio ilikuwa ya kufungia mwaka ilikuwa ni Show ya 170

1.MACHOZI BAND IKO SAVANNAH LOUNGE KILA ALHAMISI

2.LADY JAYDEE NA MACHOZI BAND KILA IJUMAA MZALENDO PUB

3.MACHOZI BAND KILA JUMAPILI YA MWEZI JANUARY WAPO SWEET EAZY...

KAMA KUNA MABADILIKO TUTAKUWA TUNAWAFAHAMISHA KADRI SIKU ZINAVYOENDA



No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive