Kijana Peter Msechu aendelea kuzawadiwa na kampuni mbali mbali kutokana na kufanya vizuri katika mashindano ya Tusker Project Fame
Meneja Mkuu wa Resolution Health Afrika mashariki, Oscar Osir, akimkabidhi msanii Peter Msechu zawadi ya bima ya afya kutona na mchezo alioshiriki wa Tusker Project Fame 4 mwishoni mwa mwaka jana. Hafra hii ilifanyika ofisi kuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment