
Bella alipiga simu baada ya kusikia kuwa Machozi Band inatoa nafasi zaidi kwa waimbaji wa kike msimu huu.
Akafika mazoezini kujaribu ili kuona uwezo wake, kila mtu alimpokea na kukubali kuwa ataweza.. Kadri siku zitakavyoenda tunaamini ana nafasi ya kuwa mkali zaidi.
Na leo ndani ya MZALENDO PUB tunamjaribu Bella mbele yenu, tunawaalika mje kushuhudia muonekano mpya wa Machozi Band unaopambwa na Flowers zaidi.
Mliliulizia, tunalitimiza............
Bado tunakaribisha maoni yenu ili kuboresha zaidi Band yenu ya MACHOZI
Kwanini Band ina wanaume tu????????????????
LADY JAYDEE na MACHOZI BAND Ijumaa hii na zingine zote ndani ya Mzalendo Pub kuanzia saa 3 kamili Usiku.
Karibuni mu enjoy ladha mpya za sauti
KILA ALHAMIS MACHOZI BAND KAMA BAND INAYOJITEGEMEA, IPO SAVANNAH LOUNGE
JUMAPILI MACHOZI BAND IPO SWEET EAZY...
NA IJUMAA TU NDIO LADY JAYDEE KWA PAMOJA NA MACHOZI BAND
No comments:
Post a Comment