UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA WIMBO MPYA WA JAFARAI Feat: JayDee - SIO KWELI

Shukrani kwa Papaa Msofe kwa kutuazima Ndinga hiyo kwaajili ya Kideo


Shukrani kwa Ruge Mutahaba pia kwa kitu cha Benz.
Mtoni sina hakika kama wasanii wote magari wanayotumia kwenye videos huwa ya kwao au pia huwa wanaazima kama sisi.

Ila kutokana na hali halisi tuliyonayo, sisi wasanii wa Bongo... Hatuna magari ya kifahari ya kufanyia Video hivyo inabidi tuazime ili tu kuonyeshea kwenye Video zetu.
Lakini tutakuwa watovu wa shukrani tusipomshukuru MUNGU kwa hapa alipotufikisha kwakuwa naamini kila mtu anavuna alichopanda... Hupandi Haragwe ukavuna Mchele!!!
Sahau

Nywele by Marcell......sijawahi kujipenda kama hivi kichwani na rangi za Bendera ya Tanzania

Jafari Mshamu a.k.a Jafarai ndio muhusika mkuu wa wimbo huo ambao baada ya muda mrefu JayDee ame Rap humo ndani

Moja kati ya wake za Jafarai kwenye Video ya SIO KWELI

Wimbo umetengenezwa ndani ya Studio za fISH Crab, chini ya LAMAR





TAMATI
Ikitoka tutairusha humu muitathmini


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive