Yani hapo hapo niliposimama ndio stage na hiyo microphone mnayoiona katika picha ni ya Cable, cable yenyewe si cm nyingi na unatakiwa Kutumbuiza.
Nitarudi kwa mchapo zaidi nikishatulia na kupata picha ya muandaaji wa hii shughuli na misuko suko iliotokea hapo
Nitarudi kwa mchapo zaidi nikishatulia na kupata picha ya muandaaji wa hii shughuli na misuko suko iliotokea hapo
No comments:
Post a Comment