Jumuiya ya Watanzania UK inapenda kuwakumbusha na kuwakaribisha tena katika DIASPORA III itakayofanyika kuanzia tarehe 6-7 Mei 2011 katika ukumbi wa
SATTAVIS PATIDAR,
FORTY AVENUE, WEMBLEY
PARK HA9 9PE London UK
kwa mawasiliano zaidi piga simu 00 44 77 66 856565 kwa mwenyekiti wa Tanz UK Dr John Lusingu
Wote Mnakaribishwa, Tafadhali Mkumbushe mwenzio
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Kwa Niaba ya
TANZ-UK
No comments:
Post a Comment