Asubuhi ni mazoezi kwa kadri ya uwezo wako
Kwa kuwa ratiba inaeleweka unaweza kujipangia kutokana na ulivyozoea
Maji moto glass 4
Coffee au Chai kikombe 1
Matunda kwa wingi
Mchana Lunch:
Maji moto glass 4
Vegetables kwa wingi na juice yoyote glass 1
Jioni kama ya mlo unapitia tena ratiba ya mazoezi.
Maji moto glass 4
Kuku wa kuchemsha nusu na kiazi kimoja kikubwa cha kuchemsha
Glass 1 ya juice
No comments:
Post a Comment