Ni kweli kabisa kuwa hata vya hivi huwa tuna serve, Jaribu, hutajutia.
Jumatatu NYUMBANI lOUNGE kwenye Buffet la Mchana kutakuwa na:Supu ya Beef Cubes Ugali wa Muhogo Wali wa Nyanya Nyama ya Ng'ombe "Kidali" Chicken Peri-peri "Kuna Option ya kutokuwa na Pilipili pia" Samaki wa Mchuzi wa nazi Kisamvu Maharage Fruit Salady na Pilipili ya Kupikwa
No comments:
Post a Comment