JIDE ANAPENDA PICHA, LAKINI HAWA WATU NAO WANAPENDA PICHA JAMANI!!!! SIJAPATA KUONA
Matukio Chuma ana story ya kusimulia baada ya yaliomsibu, hii ni Utangulizi tu wala hata sio kichwa cha habari, baada ya kupata mkanda kamili tutawaelezea alivyokuja anahema kama kakimbizwa na Hasheem Thabit
Baadae akapewa bili ya hilo ua manake alilikuta mezani hapohapo alipoenda
No comments:
Post a Comment